ISIMU JAMII Jadili mambo yanayotatiza kuenea kwa Kiswahili kabla ya 1962 nchini Kenya.

      

ISIMU JAMII
Jadili mambo yanayotatiza kuenea kwa Kiswahili kabla ya 1962 nchini Kenya.

  

Answers


Kavungya
•Utawala wa kikoloni kutokuwa na sera bora za kukitetea Kiswahili
•Waingereza kupendelea kiingereza nchini.
•Lugha za kiasili kupendelewa katika mifumo ya elimu kwa waafrika.
•Walimu kutopewa mafunzo ya Kiswahili nyakati hizo
•Hakikutahiniwa katika shule za msingi.
•Ukosefu wa wamishenari sehemu za bara.
•Wamishenari wengi hupendelea kiingereza.
Kavungya answered the question on October 8, 2019 at 07:10


Next: Eleza matumizi ya ‘ka’ na ‘hu’ katika sentensi zifuatazo. (i) Nilienda kanisani nikamkuta, nikamwamkua, nikamwomba msamaha. (ii) Baba hufika nyumbani usiku wa manane
Previous: Yakinisha sentensi ifuatayo : Mama hakutuchapa, hakutupa chakula wala maji

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions