Yakinisha sentensi ifuatayo : Mama hakutuchapa, hakutupa chakula wala maji

      

Yakinisha sentensi ifuatayo :
Mama hakutuchapa, hakutupa chakula wala maji

  

Answers


Maurice
Mama alituchapa, akatupa chakula na maji.
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 07:12


Next: ISIMU JAMII Jadili mambo yanayotatiza kuenea kwa Kiswahili kabla ya 1962 nchini Kenya.
Previous: Tofautisha kati ya sauti ghuna na sauti si ghuna huku ukitolea mifano miwili kwa kila aina

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions