Tofautisha kati ya sauti ghuna na sauti si ghuna huku ukitolea mifano miwili kwa kila aina

      

Tofautisha kati ya sauti ghuna na sauti si ghuna huku ukitolea mifano miwili kwa kila aina

  

Answers


Maurice
(i) Ghuna – zinasababisha mtetemeko wa nyuzi za sauti;
/b,/d/,/v/, /z/, /g/, /gh/ /l/,/r/, /m/, /n/, /ng/, /ny/, /w/, /dh/.

(ii) Si ghuna – Hazisababishi mtetemeko wa nyuzi za sauti; /h/, /th/, /ch/, /t/, /p/, /f/, /s/, /k/, /sh/
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 07:15


Next: Yakinisha sentensi ifuatayo : Mama hakutuchapa, hakutupa chakula wala maji
Previous: Read the passage below and then answer questions that follow.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions