Andika sentensi ifuatayo katika hali ya udogo wingi Njia nyembamba ni hatari kwa usafiri wa gari

      

Andika sentensi ifuatayo katika hali ya udogo wingi
Njia nyembamba ni hatari kwa usafiri wa gari

  

Answers


Maurice
Vinjia vyembamba ni hatari kwa usafiri wa vigari
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 07:19


Next: Tunga sentensi mbili kutofautisha matumizi ya vitate hivi: Dua na tua
Previous: Changanua sentensi ifuatayo ukitumia matawi Mzee ambaye hukuza pamba amefaidika sana

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions