Ainisha mofimu zinazojitokeza katika kitenzi hiki Waliochekeshwa

      

Ainisha mofimu zinazojitokeza katika kitenzi hiki
Waliochekeshwa

  

Answers


Maurice
Wa – Mofimu ya nafsi (tatu wingi) /ngeli (A-WA)
Li – Mofimu ya wakati (uliopita)
O- Mofimu ya ‘O’ rejeshi
Chek- mofimu ya mzizi/shina la kitenzi
eshw – mofimu ya kauli /mnyambuliko
a = kiishio (mofimu)
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 07:26


Next: Read the excerpt below and then answer questions that follow.
Previous: Choose, from the brackets, the more appropriate pronoun to fill the blank.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions