Andika sentensi zifuatazo kulingana na kauli ulizopewa katika mabano (i) Ugonjwa wa saratani hufanya watu wafe polepole. (kauli ya kutendesha) (ii) Mkulima alisuka kamba ndefu. (Kauli ya...

      

Andika sentensi zifuatazo kulingana na kauli ulizopewa katika mabano
(i) Ugonjwa wa saratani hufanya watu wafe polepole. (kauli ya kutendesha)
(ii) Mkulima alisuka kamba ndefu. (Kauli ya kutendata)

  

Answers


Maurice
- Ugonjwa wa saratani hufisha watu polepole

- Mkulima alisokota kamba ndefu
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 07:30


Next: Choose, from the brackets, the more appropriate pronoun to fill the blank.
Previous: Fill the blanks with the most suitable prepositions. i. Students benefit .................. listening to news reports on the radio. ii. I have to look

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions