Tunga sentensi moja inayojumulisha sehemu hizi, Ala, kipozi, kitondo na chagizo

      

Tunga sentensi moja inayojumulisha sehemu hizi, Ala, kipozi, kitondo na chagizo

  

Answers


Maurice
Ongancha alimjengea babake nyumba kwa matofali mazuri sana
babake – kitondo
nyumba – kipozi
kwa matofali – ala
sana – chagizo

Kitondo- mtendewa/kitendewa
Kipozi – kilichotendwa
Ala – kilichotumika kitenda
Chagizo – Kielezi, jinsi kilivyotendwa
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 07:33


Next: Explain the differences in meanings between the sentences below.
Previous: Neno kijana linaweza kutumiwa kama kivumishi au nomino, tunga sentensi kudhihirisha (i) Kivumishi (ii) Nomino

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions