Neno kijana linaweza kutumiwa kama kivumishi au nomino, tunga sentensi kudhihirisha (i) Kivumishi (ii) Nomino

      

Neno kijana linaweza kutumiwa kama kivumishi au nomino, tunga sentensi kudhihirisha
(i) Kivumishi
(ii) Nomino

  

Answers


Maurice
(i) Mchezaji kijana alifunga bao- kivumishi

(ii) Kijana yule alifunga bao – Nomino
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 07:35


Next: Tunga sentensi moja inayojumulisha sehemu hizi, Ala, kipozi, kitondo na chagizo
Previous: Rewrite the following sentences according to the instructions given without changing their meanings.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions