Sahihisha sentensi zifuatazo (i) Mtoto ambaye aliyekuwa anacheza ameanguka. (ii) Vitabu hizi ambazo zimesahihishwa ni za wanafunzi.

      

Sahihisha sentensi zifuatazo
(i) Mtoto ambaye aliyekuwa anacheza ameanguka.
(ii) Vitabu hizi ambazo zimesahihishwa ni za wanafunzi.

  

Answers


Maurice
(i) Mtoto ambaye alikuwa anacheza ameanguka au
- Mtoto aliyekuwa anacheza ameanguka

(ii) Vitabu hivi ambavyo vimesahihishwa ni vya wanafunzi
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 07:38


Next: Rewrite the following sentences according to the instructions given without changing their meanings.
Previous: Use the correct form of the word in brackets in the sentences that follow.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions