Bainisha maneno yafuatayo yapo katika ngeli gani kisha tunga sentensi mwafaka: (i) Manukato (ii) Uwati

      

Bainisha maneno yafuatayo yapo katika ngeli gani kisha tunga sentensi mwafaka:
(i) Manukato
(ii) Uwati

  

Answers


Maurice
Manukato – YA-YA: Manukato – manukato
- Manukato yananukia
- Manukato yananukia

uwati – U-Zi: Uwati – mbati
- Uwati uliotumiwa kujenga nyumba umevunjika
-- Mbati zilizotumiwa kujenga nyumba zimevunjika
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 07:46


Next: Use the correct form of the word in brackets in the sentences that follow.
Previous: Read the passage below and then answer the questions that follow.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions