“Avunjaye nazi ni lazima afaidi tui.

      

“Avunjaye nazi ni lazima afaidi tui."
Eleza maana ya methali hii

  

Answers


Maurice
- Yeyote anayeifanya kazi ngumu lazima afaidi matunda ya kazi yake.

- Anayehusika na shughuki yoyote yenye tija atafaidika
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 08:02


Next: Use the most appropriate form of the word in bracket to fill the blank.
Previous: Rewrite according to the instruction without changing the meaning of the sentence.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions