Eleza maana mbili za: Mwandishi alikwenda sokoni peke yake.

      

Eleza maana mbili za:
Mwandishi alikwenda sokoni peke yake.

  

Answers


Maurice
(i) Mwandishi hakuwa na mtu mwingine yeyote alipoenda sokoni.

(ii) Mwandishi hakwenda mahali pengine ila sokoni.
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 08:08


Next: Fill in the more suitable pronoun from the alternatives given in bracket.
Previous: Choose the better alternative from the ones given in brackets to fill the blank.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions