Tumia “O” rejeshi katika sentensi hii. Mwanafunzi ambaye hudurusu ndiye hupita mtihani.

      

Tumia “O” rejeshi katika sentensi hii.
Mwanafunzi ambaye hudurusu ndiye hupita mtihani.

  

Answers


Maurice
Mwanafunzi adurusuye ndiye apitaye mtihani.
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 08:18


Next: Explain the difference in meaning between the pair of sentences.
Previous: Andika sentensi ifuatayo kwa kunyambua maneno yaliyo kwenye mabano kwa usahihi. Dhambi za mwanadamu zilim____________ (fa) Bwana Yesu.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions