Andika upya sentensi zifuatazo kulingana na maelezo. i) Sikusoma kwa bidii ndiposa sikufaulu katika mtihani ule. (Anza: Ningalisoma …………………………………………) ii) Anakuja (andika katika wakati ujao hali timilifu)

      

Andika upya sentensi zifuatazo kulingana na maelezo.
i) Sikusoma kwa bidii ndiposa sikufaulu katika mtihani ule.
(Anza: Ningalisoma …………………………………………)

ii) Anakuja (andika katika wakati ujao hali timilifu)

  

Answers


Maurice
i) Ningalisoma kwa bidii ningalifaulu katika mtihani ule .

ii) Atakuwa amekuja.
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 08:37


Next: Taja maana ya maneno yaliyopigwa mistari. Tulipogawa mkate kila mtu alipata sehemu moja kwa nane tu kwani tulikuwa wanane
Previous: Eleza maana ya neno chungu kama lilivyotumiwa katika sentensi zifuatazo. i) Chungu yule ni mkubwa. ii) Chungu kile ni kikubwa.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions