Eleza maana ya neno chungu kama lilivyotumiwa katika sentensi zifuatazo. i) Chungu yule ni mkubwa. ii) Chungu kile ni kikubwa.

      

Eleza maana ya neno chungu kama lilivyotumiwa katika sentensi zifuatazo.
i) Chungu yule ni mkubwa.
ii) Chungu kile ni kikubwa.

  

Answers


Maurice
i) Chungu – Mdudu

ii) Chungu - Chombo cha kupikia.
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 08:40


Next: Andika upya sentensi zifuatazo kulingana na maelezo. i) Sikusoma kwa bidii ndiposa sikufaulu katika mtihani ule. (Anza: Ningalisoma …………………………………………) ii) Anakuja (andika katika wakati ujao hali timilifu)
Previous: Tunga sentensi kwa kutumia maneno yafuatayo kama vivumishi. i) Sote. ii) Zote.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions