Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Tunga sentensi kwa kutumia maneno yafuatayo kama vivumishi. i) Sote. ii) Zote.

      

Tunga sentensi kwa kutumia maneno yafuatayo kama vivumishi.
i) Sote.
ii) Zote.

  

Answers


Maurice
i) Sisi sote tuna soma (Nafsi ya kwanza wingi)

ii) Kuni zote zimewaka moto ya ‘U-zi’ wingi.
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 08:43


Next: Eleza maana ya neno chungu kama lilivyotumiwa katika sentensi zifuatazo. i) Chungu yule ni mkubwa. ii) Chungu kile ni kikubwa.
Previous: Andika nomino mbili kutokana na kitenzi safari.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions