Andika kinyume cha sentensi ifuatayo. Juma ameinjika chungu mekoni.

      

Andika kinyume cha sentensi ifuatayo.
Juma ameinjika chungu mekoni.

  

Answers


Maurice
Ameepua/ Amedeua/Ametegua chungu mekoni.
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 08:59


Next: What is line spacing in word processing?
Previous: Andika sentensi ifuatayo katika wingi wa udogo.Mtu mchoyo hamfai mwingine kwa vyovyote vile.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions