Andika sentensi ifuatayo katika wingi wa udogo.Mtu mchoyo hamfai mwingine kwa vyovyote vile.

      

Andika sentensi ifuatayo katika wingi wa udogo.
Mtu mchoyo hamfai mwingine kwa vyovyote vile.

  

Answers


Maurice
Vijitu vichoyo havifai vingine kwa vyovyote vile.
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 09:05


Next: Andika kinyume cha sentensi ifuatayo. Juma ameinjika chungu mekoni.
Previous: Kanusha sentensi hii;- Ukionana naye mwambie aje anione.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions