Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Eleza na udhibitishe kwa mfano, matumizi mawili ya tu.

      

Eleza na udhibitishe kwa mfano, matumizi mawili ya tu.

  

Answers


Maurice
i) Kama kiambishi kiwakilishi cha nafsi yakwanza wingi (sisi).
Tutasafiri kesho kutwa)

ii) Kuonyesha kuwa hakuna ziada ya kilichotajwa. (Mkutano ulihudhuriwa na wanachama
watano tu).
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 09:11


Next: Kanusha sentensi hii;- Ukionana naye mwambie aje anione.
Previous: Evaluate the following numbers into binary equivalent. 77212010

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions