Bainisha aina za shamirisho katika sentensi ifuatayo Soroveya atapimia wanunuzi viwanja.

      

Bainisha aina za shamirisho katika sentensi ifuatayo
Soroveya atapimia wanunuzi viwanja.

  

Answers


Maurice
(i) Wanunuzi-SH Kitondo


(ii) Viwanja-SH Kipozi
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 09:21


Next: Convert the following numbers into denary 111.01011
Previous: Nomino zifuatazo ni za ngeli gani? i) Nzi ii) Soksi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions