Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Saidi : Hallo............Hallo....Huyo ni Bw. Mohamed?Mohamed : Ndio...uko wapi...Saidi : Shuleni...sasa...ulinifikishia ujumbe?Mohamed : La. Parade ilikuwa imehitimishwaSaidi : Sina credit. Nipigie tafadhali.Mohamed : Sina...

      

Isimu Jamii

Saidi : Hallo............Hallo....Huyo ni Bw. Mohamed?
Mohamed : Ndio...uko wapi...
Saidi : Shuleni...sasa...ulinifikishia ujumbe?
Mohamed : La. Parade ilikuwa imehitimishwa
Saidi : Sina credit. Nipigie tafadhali.
Mohamed : Sina pia, nitatuma sms
Saidi : Iwe saa hii eh?
Mohamed : Baada ya dakika tano
Saidi : Good day
Mohamed : Welcome

(a) Taja na uthibitishe sifa zinazojitokeza katika mazungumzo haya
(b) Eleza sababu za wazungumzaji kutumia mbinu zifuatazo katika mazungumzo yao
(i) Mdokezo
(ii) Lugha mseto

  

Answers


Maurice
(a) - Lugha elezi imeumika
- lugha takriri
-Lugha mseto hutumika
- Serntensi fupi fupi hutumika
-Kanuni za lugha hazizingatiwi
- Huendesha kwa malumbano na ngonjera

(b) (i) Mazungumzo hulipiwa – kupunguza gharama kupoteza mda

(ii) -Uhusiano wao wa kielimu
- Athari ya asili ya kifaa cha mawasiliano
- Kuonyesha ubwana
- Mazingira ya mazungumzo
- Kwa kuwa wanajua zaidi ya lugha moja


maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 09:38


Next: Study the spread sheet below and answer the questions that follow. i)Write down the function that can be used to find price of most costly book....
Previous: Lugha ya kiswahili inakabiliwa na matatizo mengi sana. Yataje na kuyaeleza.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions