Lugha ya kiswahili inakabiliwa na matatizo mengi sana. Yataje na kuyaeleza.

      

Lugha ya kiswahili inakabiliwa na matatizo mengi sana. Yataje na kuyaeleza.

  

Answers


Maurice
-Ushindani kutoka lugha nyingine kama kiingereza
- Hadhi – Kiswahili kimedunishwa
- Athari za lugha ya mama
- Mitazamo hasi kuhusu Kiswahili
- Kutokuwepo kwa sera mwafaka kuhusu matumizi ya lugha ya Kiswahili kwa muda mrefu
- Kuhusishwa kwa lugha ya Kiswahili na dini ya kiislamu/ eneo la pwani
- Wamishenari walieneza dini zao kwa lugha ya kiingereza
- Kutokuwa na vitabu vya kutosha vilivyoandikwa kwa Kiswahili
- Uchache wa wataalamu wa lugha ya Kiswahili
- Mkazo wa ufundishaji wa lugha za kikabila katika shule za msingi
- Kuwepo kwa sheria katika shule kuwa Kiswahili kizungumzwe siku moja kwa juma
-Lugha imetengwa katika matumizi ofisini za kiserikali
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 09:44


Next: Saidi : Hallo............Hallo....Huyo ni Bw. Mohamed?Mohamed : Ndio...uko wapi...Saidi : Shuleni...sasa...ulinifikishia ujumbe?Mohamed : La. Parade ilikuwa imehitimishwaSaidi : Sina credit. Nipigie tafadhali.Mohamed : Sina...
Previous: Uchunguzi uliofanywa umeonyesha kuwa anasumbuliwa na uto mwingi mwilini. Uto unaweza kudondoshwa kwa kufanya mazoezi, kupunguza ulaji wa vyakula vya wanga na hata protini. Protini...

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions