Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.
(a) hospitalini/ uwanja kisayansi
(b) (i) Matumizi ya msamiati maalum
(ii) Matumizi ya vifupisho ambavyo vinaeleweka na wanaohusika na uwanja wenyewe
(iii) Kuwepo kwa maelezo yanayoambatanishwa na michoro kujaliza maelezo yanayotolewa
(iv) Matumizi ya alama zinazohusishwa na taaluma ya hisabati hasa katika maagizo ya
kutumia dawa
(v) Huweza kuwepo na matumizi ya maneno ya kilatini yanayohusishwa kwa kiasi kikubwa
na taaluma hii
(vi) Huweza kutumia neno mgonjwa kumweelezea mtu badala ya jina kama yule mgonjwa wa
homa ameruhusiwa kwenda nyumbani
(vii) Utohozi wa maneno hutumika
(viii) Kuna kuchanganya ndimi
(ix) Lugha hii ni ya heshima hasa upande wa mgonjwa
(x) Sarufi huzingatiwa
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 10:02
- Lugha ya kiswahili inakabiliwa na matatizo mengi sana. Yataje na kuyaeleza.(Solved)
Lugha ya kiswahili inakabiliwa na matatizo mengi sana. Yataje na kuyaeleza.
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Saidi : Hallo............Hallo....Huyo ni Bw. Mohamed?Mohamed : Ndio...uko wapi...Saidi : Shuleni...sasa...ulinifikishia ujumbe?Mohamed : La. Parade ilikuwa imehitimishwaSaidi : Sina credit. Nipigie tafadhali.Mohamed : Sina...(Solved)
Isimu Jamii
Saidi : Hallo............Hallo....Huyo ni Bw. Mohamed?
Mohamed : Ndio...uko wapi...
Saidi : Shuleni...sasa...ulinifikishia ujumbe?
Mohamed : La. Parade ilikuwa imehitimishwa
Saidi : Sina credit. Nipigie tafadhali.
Mohamed : Sina pia, nitatuma sms
Saidi : Iwe saa hii eh?
Mohamed : Baada ya dakika tano
Saidi : Good day
Mohamed : Welcome
(a) Taja na uthibitishe sifa zinazojitokeza katika mazungumzo haya
(b) Eleza sababu za wazungumzaji kutumia mbinu zifuatazo katika mazungumzo yao
(i) Mdokezo
(ii) Lugha mseto
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Nomino zifuatazo ni za ngeli gani?
i) Nzi
ii) Soksi(Solved)
Nomino zifuatazo ni za ngeli gani?
i) Nzi
ii) Soksi
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Bainisha aina za shamirisho katika sentensi ifuatayo Soroveya atapimia wanunuzi viwanja.(Solved)
Bainisha aina za shamirisho katika sentensi ifuatayo
Soroveya atapimia wanunuzi viwanja.
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Changanua sentensi ifuaatayo kwa kielelezo visandu.
Mwanafunzi aliyeleta kitabu chake amepongezwa(Solved)
Changanua sentensi ifuaatayo kwa kielelezo visandu.
Mwanafunzi aliyeleta kitabu chake amepongezwa
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Eleza na udhibitishe kwa mfano, matumizi mawili ya tu.(Solved)
Eleza na udhibitishe kwa mfano, matumizi mawili ya tu.
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Kanusha sentensi hii;-
Ukionana naye mwambie aje anione.(Solved)
Kanusha sentensi hii;-
Ukionana naye mwambie aje anione.
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Andika sentensi ifuatayo katika wingi wa udogo.Mtu mchoyo hamfai mwingine kwa vyovyote vile.(Solved)
Andika sentensi ifuatayo katika wingi wa udogo.
Mtu mchoyo hamfai mwingine kwa vyovyote vile.
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Andika kinyume cha sentensi ifuatayo.
Juma ameinjika chungu mekoni.(Solved)
Andika kinyume cha sentensi ifuatayo.
Juma ameinjika chungu mekoni.
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Tumia viunganishi mwafaka kuunganisha sentensi hizi ziwe sentensi moja.
Alikimbia kwa nguvu zake zote. Alishindwa, kulikuwa na mtu mwenye mbio kumliko.(Solved)
Tumia viunganishi mwafaka kuunganisha sentensi hizi ziwe sentensi moja.
Alikimbia kwa nguvu zake zote. Alishindwa, kulikuwa na mtu mwenye mbio kumliko.
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Andika nomino mbili kutokana na kitenzi safari.(Solved)
Andika nomino mbili kutokana na kitenzi safari.
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Tunga sentensi kwa kutumia maneno yafuatayo kama vivumishi.
i) Sote.
ii) Zote.(Solved)
Tunga sentensi kwa kutumia maneno yafuatayo kama vivumishi.
i) Sote.
ii) Zote.
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Eleza maana ya neno chungu kama lilivyotumiwa katika sentensi zifuatazo.
i) Chungu yule ni mkubwa.
ii) Chungu kile ni kikubwa.(Solved)
Eleza maana ya neno chungu kama lilivyotumiwa katika sentensi zifuatazo.
i) Chungu yule ni mkubwa.
ii) Chungu kile ni kikubwa.
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Andika upya sentensi zifuatazo kulingana na maelezo.
i) Sikusoma kwa bidii ndiposa sikufaulu katika mtihani ule.
(Anza: Ningalisoma …………………………………………)
ii) Anakuja (andika katika wakati ujao hali timilifu)(Solved)
Andika upya sentensi zifuatazo kulingana na maelezo.
i) Sikusoma kwa bidii ndiposa sikufaulu katika mtihani ule.
(Anza: Ningalisoma …………………………………………)
ii) Anakuja (andika katika wakati ujao hali timilifu)
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Taja maana ya maneno yaliyopigwa mistari.
Tulipogawa mkate kila mtu alipata sehemu moja kwa nane tu kwani tulikuwa wanane(Solved)
Taja maana ya maneno yaliyopigwa mistari.
Tulipogawa mkate kila mtu alipata sehemu moja kwa nane tu kwani tulikuwa wanane
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Eleza maana ya msemo ufuatao. Teka bakunja.(Solved)
Eleza maana ya msemo ufuatao.
Teka bakunja.
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Andika sentensi ifuatayo kwa kunyambua maneno yaliyo kwenye mabano kwa usahihi.
Dhambi za mwanadamu zilim____________ (fa) Bwana Yesu.(Solved)
Andika sentensi ifuatayo kwa kunyambua maneno yaliyo kwenye mabano kwa usahihi.
Dhambi za mwanadamu zilim____________ (fa) Bwana Yesu.
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Tumia “O” rejeshi katika sentensi hii.
Mwanafunzi ambaye hudurusu ndiye hupita mtihani.(Solved)
Tumia “O” rejeshi katika sentensi hii.
Mwanafunzi ambaye hudurusu ndiye hupita mtihani.
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Eleza maana mbili za:
Mwandishi alikwenda sokoni peke yake.(Solved)
Eleza maana mbili za:
Mwandishi alikwenda sokoni peke yake.
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- “Avunjaye nazi ni lazima afaidi tui.(Solved)
“Avunjaye nazi ni lazima afaidi tui."
Eleza maana ya methali hii
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)