Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Fafanua mikakati mitano inayoweza kuchapuza kukua na kuenea kwa kiswahili nchini Kenya

      

Fafanua mikakati mitano inayoweza kuchapuza kukua na kuenea kwa kiswahili nchini Kenya

  

Answers


Maurice
i) Sera madhubuti – hii itaelekeza hatua za kupanga na kuendeleza lugha. Pia itabainisha nyanja na maeneo ya matumizi ya Kiswahili

ii) Kuamrisha Kiswahili – kitumiwe kama lugha ya kufundisha baadhi ya masomo, somo la lazima

iii) Ufadhili wa miradi ya utafiti

iv) Maandalizi mema ya walimu na wataalamu wa Kiswahili

v) Kubuni vyombo vya kukuza Kiswahili

vi) Kusisotiza matumizi ya lugha sanifu

vii) Serikali kufadhili uandishi na uchapishaji wa vitabu vya sarufi

viii) Kuingiza Kiswahili kwenye kompyuta

ix) Kuunda jopo la kitaifa la wataalamu – lengo leo ni kutoa mwongozo kuhusu Kiswahili na maendeleo yake
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 10:07


Next: Uchunguzi uliofanywa umeonyesha kuwa anasumbuliwa na uto mwingi mwilini. Uto unaweza kudondoshwa kwa kufanya mazoezi, kupunguza ulaji wa vyakula vya wanga na hata protini. Protini...
Previous: Fafanua changamoto tano zinazozuia maenezi ya haraka ya lugha ya Kiswahili

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions