-Mashindano na lugha zingine kama Kingereza.
- Kasumba kwamba lugha ya kiswahili ni duni/ya watu wasiosoma.
-Sura mbovu za serikali
-Ukosefu wa taasisi maalum za kuendeleza kiswahili.
-Matumizi ya ‘sheng’ yanadidimiza kiswahili
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 10:17
-
Fafanua mikakati mitano inayoweza kuchapuza kukua na kuenea kwa kiswahili nchini Kenya
(Solved)
Fafanua mikakati mitano inayoweza kuchapuza kukua na kuenea kwa kiswahili nchini Kenya
Date posted:
October 8, 2019
.
Answers (1)
-
Uchunguzi uliofanywa umeonyesha kuwa anasumbuliwa na uto mwingi mwilini. Uto unaweza kudondoshwa kwa kufanya mazoezi, kupunguza ulaji wa vyakula vya wanga na hata protini. Protini...
(Solved)
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali yanayofuata
Uchunguzi uliofanywa umeonyesha kuwa anasumbuliwa na uto mwingi mwilini. Uto unaweza kudondoshwa kwa kufanya mazoezi, kupunguza ulaji wa vyakula vya wanga na hata protini. Protini iwapo nyingi mwilini hugeuzwa kuwa glukosi ambayo huhifadhiwa mwilini. Hii huwa msingi wa unene pia ambao unahatarisha afya. Jamaa yake aliyeaga dunia alikuwa mgonjwa wa bolisukari ambayo inaweza kurithishwa. Kimsingi, lazima awe na welewa bora kabisa wa lishe. Mwenzake naye aliathiriwa na aflatoxins zilikuwa kwenye chakula alichokula.
(a) Sajili hii inapatikana wapi? Kwa nini?
(b) Taja sifa zinazohusishwa na sajili yenyewe
Date posted:
October 8, 2019
.
Answers (1)
-
Lugha ya kiswahili inakabiliwa na matatizo mengi sana. Yataje na kuyaeleza.
(Solved)
Lugha ya kiswahili inakabiliwa na matatizo mengi sana. Yataje na kuyaeleza.
Date posted:
October 8, 2019
.
Answers (1)
-
Saidi : Hallo............Hallo....Huyo ni Bw. Mohamed?Mohamed : Ndio...uko wapi...Saidi : Shuleni...sasa...ulinifikishia ujumbe?Mohamed : La. Parade ilikuwa imehitimishwaSaidi : Sina credit. Nipigie tafadhali.Mohamed : Sina...
(Solved)
Isimu Jamii
Saidi : Hallo............Hallo....Huyo ni Bw. Mohamed?
Mohamed : Ndio...uko wapi...
Saidi : Shuleni...sasa...ulinifikishia ujumbe?
Mohamed : La. Parade ilikuwa imehitimishwa
Saidi : Sina credit. Nipigie tafadhali.
Mohamed : Sina pia, nitatuma sms
Saidi : Iwe saa hii eh?
Mohamed : Baada ya dakika tano
Saidi : Good day
Mohamed : Welcome
(a) Taja na uthibitishe sifa zinazojitokeza katika mazungumzo haya
(b) Eleza sababu za wazungumzaji kutumia mbinu zifuatazo katika mazungumzo yao
(i) Mdokezo
(ii) Lugha mseto
Date posted:
October 8, 2019
.
Answers (1)
-
Nomino zifuatazo ni za ngeli gani?
i) Nzi
ii) Soksi
(Solved)
Nomino zifuatazo ni za ngeli gani?
i) Nzi
ii) Soksi
Date posted:
October 8, 2019
.
Answers (1)
-
Bainisha aina za shamirisho katika sentensi ifuatayo Soroveya atapimia wanunuzi viwanja.
(Solved)
Bainisha aina za shamirisho katika sentensi ifuatayo
Soroveya atapimia wanunuzi viwanja.
Date posted:
October 8, 2019
.
Answers (1)
-
Eleza na udhibitishe kwa mfano, matumizi mawili ya tu.
(Solved)
Eleza na udhibitishe kwa mfano, matumizi mawili ya tu.
Date posted:
October 8, 2019
.
Answers (1)
-
Kanusha sentensi hii;-
Ukionana naye mwambie aje anione.
(Solved)
Kanusha sentensi hii;-
Ukionana naye mwambie aje anione.
Date posted:
October 8, 2019
.
Answers (1)
-
Andika sentensi ifuatayo katika wingi wa udogo.Mtu mchoyo hamfai mwingine kwa vyovyote vile.
(Solved)
Andika sentensi ifuatayo katika wingi wa udogo.
Mtu mchoyo hamfai mwingine kwa vyovyote vile.
Date posted:
October 8, 2019
.
Answers (1)
-
Andika kinyume cha sentensi ifuatayo.
Juma ameinjika chungu mekoni.
(Solved)
Andika kinyume cha sentensi ifuatayo.
Juma ameinjika chungu mekoni.
Date posted:
October 8, 2019
.
Answers (1)
-
Tumia viunganishi mwafaka kuunganisha sentensi hizi ziwe sentensi moja.
Alikimbia kwa nguvu zake zote. Alishindwa, kulikuwa na mtu mwenye mbio kumliko.
(Solved)
Tumia viunganishi mwafaka kuunganisha sentensi hizi ziwe sentensi moja.
Alikimbia kwa nguvu zake zote. Alishindwa, kulikuwa na mtu mwenye mbio kumliko.
Date posted:
October 8, 2019
.
Answers (1)
-
Andika nomino mbili kutokana na kitenzi safari.
(Solved)
Andika nomino mbili kutokana na kitenzi safari.
Date posted:
October 8, 2019
.
Answers (1)
-
Tunga sentensi kwa kutumia maneno yafuatayo kama vivumishi.
i) Sote.
ii) Zote.
(Solved)
Tunga sentensi kwa kutumia maneno yafuatayo kama vivumishi.
i) Sote.
ii) Zote.
Date posted:
October 8, 2019
.
Answers (1)
-
Eleza maana ya neno chungu kama lilivyotumiwa katika sentensi zifuatazo.
i) Chungu yule ni mkubwa.
ii) Chungu kile ni kikubwa.
(Solved)
Eleza maana ya neno chungu kama lilivyotumiwa katika sentensi zifuatazo.
i) Chungu yule ni mkubwa.
ii) Chungu kile ni kikubwa.
Date posted:
October 8, 2019
.
Answers (1)
-
Eleza maana ya msemo ufuatao. Teka bakunja.
(Solved)
Eleza maana ya msemo ufuatao.
Teka bakunja.
Date posted:
October 8, 2019
.
Answers (1)
-
Tumia “O” rejeshi katika sentensi hii.
Mwanafunzi ambaye hudurusu ndiye hupita mtihani.
(Solved)
Tumia “O” rejeshi katika sentensi hii.
Mwanafunzi ambaye hudurusu ndiye hupita mtihani.
Date posted:
October 8, 2019
.
Answers (1)
-
“Avunjaye nazi ni lazima afaidi tui.
(Solved)
“Avunjaye nazi ni lazima afaidi tui."
Eleza maana ya methali hii
Date posted:
October 8, 2019
.
Answers (1)
-
Bainisha maneno yafuatayo yapo katika ngeli gani kisha tunga sentensi mwafaka:
(i) Manukato
(ii) Uwati
(Solved)
Bainisha maneno yafuatayo yapo katika ngeli gani kisha tunga sentensi mwafaka:
(i) Manukato
(ii) Uwati
Date posted:
October 8, 2019
.
Answers (1)
-
Sahihisha sentensi zifuatazo
(i) Mtoto ambaye aliyekuwa anacheza ameanguka.
(ii) Vitabu hizi ambazo zimesahihishwa ni za wanafunzi.
(Solved)
Sahihisha sentensi zifuatazo
(i) Mtoto ambaye aliyekuwa anacheza ameanguka.
(ii) Vitabu hizi ambazo zimesahihishwa ni za wanafunzi.
Date posted:
October 8, 2019
.
Answers (1)
-
Neno kijana linaweza kutumiwa kama kivumishi au nomino, tunga sentensi kudhihirisha
(i) Kivumishi
(ii) Nomino
(Solved)
Neno kijana linaweza kutumiwa kama kivumishi au nomino, tunga sentensi kudhihirisha
(i) Kivumishi
(ii) Nomino
Date posted:
October 8, 2019
.
Answers (1)