Bw. Mosuka : Mheshimiwa spika, naichukua fursa hii kuipinga hoja iliyowasilishwa na mbunge wa Mahira, mheshimiwa Kochaberi kuhusu suala la kuavya.... (a) Hii ni sajili gani? (b) Eleza...

      

Bw. Mosuka : Mheshimiwa spika, naichukua fursa hii kuipinga hoja iliyowasilishwa na
mbunge wa Mahira, mheshimiwa Kochaberi kuhusu suala la kuavya....
(a) Hii ni sajili gani?
(b) Eleza sifa za mazungumzo ya sajili hii

  

Answers


Maurice
(a) Sajili ya bungeni

(b) Sifa
- Msamiati na istilahi huhusiana na bungeni kama vikao vya bunge, spika, mesi, karani.

- Hurejelea sheria za nchi au katiba katika kutetea hoja fulani inayojadliwa

- Lugha ya heshima katika mawasiliano na majadiliano-Mheshimiwa spika

- Kuchanganya ndimi katika mijadala, ili kujieleza vyema

- Wabunge hutaja msamiati unaorejelea sheria na kanuni za bunge wanapojadiliana kuhusiana na maswala mbali mbali, hasa shughuli za kinidhamu
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 10:53


Next: A : Ohh, dada NaomiB : Dada Ruth (anamsogea kwa bashasha wanakumbatiana). Ahh Mungu asifiwe!A: Asifiwe sanaB: Ehh dadangu, miezi ...mingi...sijakuonaA: dada wee...Nilitumwa huko kusini...
Previous: Eleza juhudi tano zinazotumika kukiendeleza Kiswahili

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions