Eleza juhudi tano zinazotumika kukiendeleza Kiswahili

      

Eleza juhudi tano zinazotumika kukiendeleza Kiswahili

  

Answers


Maurice
(i) Kuwepo kwa vipindi vya redio na runinga ambavyo huhimiza matumizi ya lugha sanifu

(ii) Uchapishaji wa vitabu vya kisarufi

(iii) Ufundishaji wa Kiswahili kuwa somo la lazima shuleni

(iv) Kiswahili kinaendelezwa kitaaluma katika vyuo vikuu

(v) Mashirika mbalimbali yanayoshughulikia uimarishaji wa lugha ya Kiswahili
kwa mfano Chakita, Chakike

(vi) Mashindano ya uandishi

(vii) Kukariri mashairi katika tamasha mbalimbali

(viii) Kuandaliwa kwa semina na warsha mbalimbali zinazoshughulikia lugha ya Kiswahili

(ix) Kilitangazwa kuwa mojawapo ya lugha za bunge
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 11:00


Next: Bw. Mosuka : Mheshimiwa spika, naichukua fursa hii kuipinga hoja iliyowasilishwa na mbunge wa Mahira, mheshimiwa Kochaberi kuhusu suala la kuavya.... (a) Hii ni sajili gani? (b) Eleza...
Previous: State four factors that determine the rate of interest charged on borrowed capital.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions