Trusted since 2008
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Eleza njia tatu za kupunguza tofauti za kilahaja

Eleza njia tatu za kupunguza tofauti za kilahaja

Answers


Kavungya
i) Kusanifisha lugha
ii) Kuimarisha njia za usafiri baina ya maeneo ambapo lugha inatumiwa km barabara
iii) Kuwepo kwa mfumo mmoja wa elimu ambapo lugha moja inatumiwa
iv) Maendeleo ya njia za kupashana habari km simu magazeti, redio n.k
v) Kuweka utawala mmoja k.v. muungano wa Afrika Mashariki.
Kavungya answered the question on October 11, 2019 at 07:36

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions