Trusted since 2008
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Eleza maana tatu zinazopatikana katika sentensi hii. Alikuwa amenijuza kuwa angefika kwao.

Eleza maana tatu zinazopatikana katika sentensi hii.
Alikuwa amenijuza kuwa angefika kwao.

Answers


Kavungya
(i)Yeye mwenyewe alikuwa amenifahamisha kuwa angefika kwa watu wengine.
(ii)Yeye mwenyewe alikuwa amenijuza angefika kwao yaani nyumbani anamotoka yeye.
(iii)Mtu mwingine angefika kwa aliyenijuza.
Kavungya answered the question on October 21, 2019 at 06:05

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions