Trusted since 2008
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

ISIMU JAMII Ali: Wee kuja hapa. Wewe ni nani? Sema haraka! Ebo: Mimi … ni … afande ni Ebo Ali: Unatoka wapi sa ii? Hapa hakuna sheria? Ebo:...

ISIMU JAMII
Ali: Wee kuja hapa. Wewe ni nani? Sema haraka!
Ebo: Mimi … ni … afande ni Ebo
Ali: Unatoka wapi sa ii? Hapa hakuna sheria?
Ebo: Samahani mkubwa. Mimi niku…
Ali: Mkubwa wa nani? Wakubwa wako ofisini.
Ebo: Pole mzee.
Ali: Mzee gani? Hii mtu lazima niiwekwa store. Yaani self-contained.
Toa viatu.
Ebo: Tafadhali Bwana Askari, nilichelewa …
Ali: Mimi sitaki hadithi! Hizo pelekea nyanya yako, eh. Fanya haraka!
Ebo: Naomba mkubwa …
Ali: Hapa si kanisani. Unaomba! Hata …

Fafanua sifa tano za sajili hii.

Answers


Kavungya
Lugha yenye ukali kw. Polisi.
Lugha ya kudhadisi/maswali ni majibu.
Kuchanganya ndimi.
Lugha isiyozingatia kanuni za kisarufi.
Lugha ya unyenyekevu kwa mshukiwa.
Lugha ya kuamrisha.
Lugha inayoeleweka kwa urahisi
Lugha ya misimu.
Kavungya answered the question on October 21, 2019 at 06:16

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions