Trusted since 2008
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Eleza mambo manne yaliyochangia kuenea kwa lugha ya Kiswahili kabla ya uhuru wa mataifa ya Afrika mashariki .

Eleza mambo manne yaliyochangia kuenea kwa lugha ya Kiswahili kabla ya uhuru wa mataifa ya Afrika mashariki .

Answers


Kavungya
i) Biashara za watumwa, pembe za ndovu na pilipili katika upwa wa Afrika mashariki
ii) Kusambaza dini ya kiislamu pwani na mrima.
iii) Utawala wa wakoloni, utawala uliendeshwa kwa Kiswahili
iv) Kiswahili kilisambazwa wakati waafrika walianza harakati za ukomboni. Kilitumika kama kiungo cha kushikanisha makabila tofauti.
v) Kiswahili kilitumika, katika shule za wamishenari zilizokuwa zimeanzishwa hapa barani Afrika.
vi) Katika vita vya kwanza na vya pili askari waafrika walioenda janibu za nje walisambaza Kiswahili.
vii) Maandishi ya kwanza hasa katika kutafsiri vitabu vya dini na kuandika majarida.
Kavungya answered the question on October 29, 2019 at 10:06

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions