Tumia kitenzi KAA inavyofaa kujazia nafasi zilizoachwa i)Onyango alipofika mkutanoni alikosa mahali pa……………….. ii)Watu walikuwa wamejaa na hapakuwa na kiti hata kimoja cha

      

Tumia kitenzi KAA inavyofaa kujazia nafasi zilizoachwa
i)Onyango alipofika mkutanoni alikosa mahali pa………………..
ii)Watu walikuwa wamejaa na hapakuwa na kiti hata kimoja cha

  

Answers


Davis
i)Kukaa
ii)Kukalia
Githiari answered the question on September 25, 2017 at 08:02


Next: Andika maneno mengine yenye maana sawa na ...
Previous: Fafanua maana ya methali: Waso haya wana mji wao

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions