Tumia kitenzi KAA inavyofaa kujazia nafasi zilizoachwai)Onyango alipofika mkutanoni alikosa mahali pa………………..ii)Watu walikuwa wamejaa na hapakuwa na kiti hata kimoja cha
Next: Andika maneno mengine yenye maana sawa na ...Previous: Fafanua maana ya methali: Waso haya wana mji wao View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index
Andika maneno mengine yenye maana sawa na i)Damu ii)Jura
Date posted: September 25, 2017. Answers (1)
Zifuatazo ni sehemu gani za mwili (i) Kisugudi(ii) Nguyu
Tunga sentensi moja ukitumia – ki – ya masharti
Unda jina kutokana na kivumishi hiki;Refu
Andika sentensi ifuatayo kwa wingiUwanja mwingineo umechimbuliwa kuongeza ule wa zamani