i)Amenunua kwa shillingi tau (bei).
ii)Ameenda moja kwa (kufululiza).
iii)Juma amekwenda kwa Hamisi (mahali).
iv)Kwa minajili kwa mintarafu (ya kurejelea).
v)Alitembea kwa maringo (namna).
vi)Walikuja mkutanoni wake kwa waume (pamoja).
Githiari answered the question on September 25, 2017 at 08:07