Ni mbinu gani za lugha zinazotumiwa katika sentensi hizi? (a) Juma si simba wetu hapa kijijini (b) Juma ni shujaa kama simba

      

Ni mbinu gani za lugha zinazotumiwa katika sentensi hizi?
(a) Juma si simba wetu hapa kijijini
(b) Juma ni shujaa kama simba

  

Answers


Davis
a)Istiara jazanda
b)Tashbihi
Githiari answered the question on September 25, 2017 at 08:13


Next: Tumia viunganishi vifuatavyo katika sentensi ...
Previous: Sentensi ifuatayo ina maana mbili totauti. Zieleze Huyu amekuja kutuliza

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions