Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Eleza tofauti ya semi mbili zilizopigwa mstari (a) Kevoga hana muhali; ikiwa hawezi kukufanyia jambo atakwambia (hana muhali) (b) Kevogo hana muhula; hivi sasa amekuambia hawezi kukufanyia...

      

Eleza tofauti ya semi mbili zilizopigwa mstari
(a) Kevoga hana muhali; ikiwa hawezi kukufanyia jambo atakwambia (hana muhali)
(b) Kevogo hana muhula; hivi sasa amekuambia hawezi kukufanyia jambo hili

  

Answers


Davis
a)Hana shida/ngumu
b)Hana muda/wakati
Githiari answered the question on September 25, 2017 at 08:18


Next: Andika sentensi tatu kuonyesha maana tatu tofauti za neno KINA
Previous: Culture is the cord that binds people together. Support this statement using illustrations from river and the source by Margaret Ogolla

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions