"Maisha yangu yalijaa shubiri tangu utotoni." Rejelea Chozi la heri.

      

a) Eleza muktadha wa dondoo hili.
b) Bainisha tamathali ya usemi iliyotumika katika dondoo hili.

  

Answers


Mercy
a) Ni maneno ya Chandacheme akiwaambia Kairu, Umu,Zohali na Mwanaheri wamo bwenini katika shule ya Tangamano.Chandachema anawasimulia dhiki alizopitia tangu kuzaliwa kwake.
b) Nahau-Kujaa shubiri
Malesh91 answered the question on June 15, 2020 at 12:28


Next: Discuss the electromotive force
Previous: Vita vina athari nyingi katika maisha ya binadamu, dhibitisha ukweli wa kauli hii ukiangazia riwaya ya chozi la heri.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions