Vita vina athari nyingi katika maisha ya binadamu, dhibitisha ukweli wa kauli hii ukiangazia riwaya ya chozi la heri.

      

Athari za vita katika riwaya ya Chozi la heri.

  

Answers


Mercy
1. Vifo-Watu wanauliwa baada ya vita katika ya wafuasi wa Mwekevu na mpinzani wake.
2. Maangamizi ya mali- Ridhaa anapoteza mali yake yote.
3. Hasara kwa wafanyibiashara kwani wafanyibiashara wa kihindi wanaporwa mali yake vita vinapoibuka.
4. Kutiwa nguvunu- Waporaji wanatiwa nguvuni.
5. Watu kutoroka makwao kama vile Kaizari.
6. Utegemezi- Watu kukosa chakula katika kambi na hivyo kutegemea mashirika ya kijamii.
7. Kukatiziwa masomo kama vile Lime na Mwanaheri.
8. Kubakwa- Lime na Mwanaheri wanabakwa na vijana wenzao.
9. Magonjwa- Ridhaa anaugua shinikizo la damu baada ya jamaa zake kufa.
10. Athari za kisaikolojia- Ridhaa anaathirika mpaka anashindwa kuzika majivu ya mkewe na wanawe.
Malesh91 answered the question on June 15, 2020 at 12:44


Next: "Maisha yangu yalijaa shubiri tangu utotoni." Rejelea Chozi la heri.
Previous: How does the change in volume of a fixed mass of glass affects its pressure if the temperature is kept constant

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions