Tambua kivumishi katika sentensi ifuatayo. Mwanafunzi mdogo amezungumza taratibu.

      

Tambua kivumishi katika sentensi ifuatayo.
Mwanafunzi mdogo amezungumza taratibu.

  

Answers


okworo
Mdogo ni kivumishi.Maana hutoa maelezo zaidi kuhusu nomino ambayo ni mwanafunzi.
Innocent okworo answered the question on August 17, 2020 at 05:21


Next: Determine the percentage error for each of the following to two decimal places. (a)10.5+5.25 (b)10.5-5.25 (c)10.5×5.25 (d)10.5÷5.25
Previous: Tambua kielezi katika sentensi ifuatayo. Kijana mkorofi ameadhibiwa vibaya

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions