Tambua kielezi katika sentensi ifuatayo. Kijana mkorofi ameadhibiwa vibaya

      

Tambua kielezi katika sentensi ifuatayo.
Kijana mkorofi ameadhibiwa vibaya

  

Answers


okworo
Vibaya ni kielezi. Linatoa maelezo zaidi juu ya kitenzi ambacho ni kuadhibiwa.
Innocent okworo answered the question on August 17, 2020 at 05:24


Next: Tambua kivumishi katika sentensi ifuatayo. Mwanafunzi mdogo amezungumza taratibu.
Previous: Analyze roles that the community can play in rehabilitation of persons

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions