Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Je kwa maoni yako, unafikiri asili ya neno 'Kiswahili' ni nini?

      

Je kwa maoni yako, unafikiri asili ya neno 'Kiswahili' ni nini?

  

Answers


Faith
Kwa maoni yangu Kiswahili ni moja Kati ya lahaja za kiarabu.Hii ni kwa sababu ya Mambo kadhaa yaliyo katika lugha ya kiswahili.Kwanza lugha ya Kiswahili imekopa maneno mengi sana ya kiarabu.Baadhi ya maneno hayo ni Kama vile.
Tisa-kenda
Elimu-ujuzi
Katibu-mwandishi n.k
Pili,Lugha ya Kiswahili imefungamana na mafunzo ya dini ya kiislamu na waswahili wengi ni waislamu.Wao hutumia majina ya dini ya kiislamu Kama vile Juma,Rajabu na Mohammed.Aidha baadhi ya maneno ya Kiswahili yakiyokopwa kutoka kiarabu yanahusiana na nyakati ambapo waislamu huswali Kama vile alfajiri,adhuhuri,alasiri na magharibi.Dini ya kiislamu ililetwa pwani ya Afrika mashariki na waarabu na ilienezwa kwa kiarabu.Waswahili pia hufanya sherehe za maulidi mjini lamu Kila mwaka ambazo zinahusu kuzaliwa kwa mtume Mohammed.Kwa hivyo kiswahili ni kiarabu.
Mwisho ni kuwa ustaarabu wa Uswahilini umebuniwa na kuimarishwa na wageni waliotoka nchi za mashariki Kama vile Uajemi.Mijengo,mavazi vyakula na vinywaji ni Aina ya ustaarabu huo.Kwa hivyo kulingana na na maoni haya ni bayana kuwa Kiswahili ni mojawapo ya lahaja za kiarabu.

Titany answered the question on December 6, 2021 at 08:09


Next: Discuss the international labor organization I.L.O
Previous: Orodhesha maneno mengine ya Kiswahili yakiyokopwa kutoka lugha mbalimbali za kigeni na uzitaje lugha hizo

View More Historical Development of Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions