Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Orodhesha maneno mengine ya Kiswahili yakiyokopwa kutoka lugha mbalimbali za kigeni na uzitaje lugha hizo

      

Orodhesha maneno mengine ya Kiswahili yakiyokopwa kutoka lugha mbalimbali za kigeni na uzitaje lugha hizo

  

Answers


Faith
Kiarabu. Kiswahili.
1. AHDI -Ahadi
2. JUHDI-juhudi
3. AR'lLLI-ardhi
4. DHWAALIM-Dhalimu
5. AQLI-Akili
6. WARAQA-Waraka
7. WAQATI-Wakati
8. SWADIQ-sadiki
9. MU'ALLIM-Mwalimu
10. TIS'A-Tisa

Kingereza. Kiswahili
• Bycicle-Baiskeli
• Chalk-chokaa
• Doctor-daktari
• Hospital-hospitali
• Calendar-kalenda
• Bulb-balbu
• School-shule
• Technology-Teknolojia
• Badget-bajeti
• Campaign-kampeni
• Film-filamu
• Management-Menejimenti

Titany answered the question on December 6, 2021 at 08:11


Next: Je kwa maoni yako, unafikiri asili ya neno 'Kiswahili' ni nini?
Previous: Eleza upungufu wa nadharia inayodai kwamba Kiswahili ni lugha ya mseto

View More Historical Development of Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions