Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Eleza upungufu wa nadharia inayodai kwamba Kiswahili ni lugha ya mseto

      

Eleza upungufu wa nadharia inayodai kwamba Kiswahili ni lugha ya mseto

  

Answers


Faith
• Kwa mtazamo wa nadharia hii ni wazi kwamba Kiswahili ni lugha ya mseto Haina ya waarabu na wabantu.Lakini nadharia hii ilishindwa kudhibitisha kihistoria na kilughawiya kuwepo kwa lahaja mbalimbali za kiswahili katika mwambao wa Afrika Mashariki na visiwa jirani Kama vile Pate,Lamu,Pemba,Unguja,mafia na Ngazija.Lahaja ambazo zinafanana na kibantu kimatamshi,msamiati na sarufi kwa ujumla.
• Mbaabu(1978:3)Anasema lugha mbili katika ndoa haziwezi kuzaa lugha nyingine kwa hivyo Kiswahili si lugha mseto.
• Watafiti wa Kiswahili wamethibitisha kwamba takribana asilimia 60% ya maneno yote ya Kiswahili ni kibantu,30% ni kiarabu na 10%ni lugha nyingine za kigeni.Kwa hivyo kiswahili haziwezi kuwa lugha mseto.
• Chimerah (1998:3)Anasema Kiswahili si lugha mseto kwa kuwa sarufi take haifanani na sarufi ya kiarabu Wala lugha zingine za kigeni Bali inakaribiana sana na kibantu.

Titany answered the question on December 6, 2021 at 08:13


Next: Orodhesha maneno mengine ya Kiswahili yakiyokopwa kutoka lugha mbalimbali za kigeni na uzitaje lugha hizo
Previous: Kwa kutoa mifano fafanua vipengele vitano vya kiisimu vinavyothibitisha kwamba kiswahili ni lugha ya kibantu

View More Historical Development of Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions