Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Eleza kwa nn wafanya biashara waarabu walfanikiwa sana kueneza Kiswahili nchini Tanganyika kuliko Kenya

      

Eleza kwa nn wafanya biashara waarabu walfanikiwa sana kueneza Kiswahili nchini Tanganyika kuliko Kenya

  

Answers


Faith
Ushaidi uliopo unaonyesha kwamba kulikuwa na misafara mingi nchini Tanzania kuliko Kenya. Na misafara hii ilikuwa ikianza kilwa, Bagamoyo na Pangani ikielekea bara. Ilhali ushahidi Kenya unadhibitishwa kuwa misafara michache ya wanabiashsra ndiyo iliyopenya hadi sehemu za bara nchini Kenya.
Kwa mfano wasafiri hao walibuni mitaa sehemu za bara ambazo majina yake ni ya kutoka pwani. Katika nchi Tanzania misafara ya waarabu wafanya biashara hakukukuwa na matatiza kwa njia hii kiswahiki kilitumiwa katika mawasiliano shughuli za biashara na biashara zaoilhali misafara ya waarabu wanabiashara nchini Kenya walitatizwa na sababu zifuatazo
Kwanza wamaasai walikuwa tisho kwa wanabiashara kwa sababu hawakubali msafara kupenya eneo lao kwani wangetega nyara na kupora bidhaana pia kuwadhuru wafanya biashara.
Pili, baadhi ya makabila kama vile wakikuyu na wanandi hawakuwa na moyo wa kushirikiana sana na waswahili Mbaabu(1991.5) anasema kuwa kiongozi wa wanga na wanawe Mumia ndio walioshirikiana sana na waswahili.
Tatu vita vya kuvizia vilivyapiganwa na Wamazrui ili kupinga utawala wa Sayyid Said viliathiri Pwani ya Mombasa na vitongoji vyake na kufanya biashara kuwa ya hatari kwa hivya msafara mwingi haukuenda bara.
Nne, hali ya ukame uliokuwa katika baadhi ya sehemu za Kenya ilikuwa pingamizi kubwa kwa wasafiri kama vile katika mtaa wa mashariki kaskazini, kulkuwa na kiangazi, ukosefu wa maji na wanyama pori. (Mbaabu 1988.8)

Titany answered the question on December 6, 2021 at 08:19


Next: Kama kiswahili si lahaja ya kiarabu,Basi ni lugha mseto.Taathmini madai haya
Previous: Sera ya lugha ya uingereza ilitatiza kukua nakuenea kwa Kiswahili nchini Kenya “ jadili kauli hii kwa tafsili

View More Historical Development of Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions