Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Fafanua sababu zilizotatiza kukua na kuenea kwa lugha ya Kiswahili nchini Uganda kabla ya uhuru

      

Fafanua sababu zilizotatiza kukua na kuenea kwa lugha ya Kiswahili nchini Uganda kabla ya uhuru

  

Answers


Faith
Misafara ya waarabu ilifika nchini Uganda na pia kueneza kiswahili huko. Tippo anasema kuwa mfalme wa Buganda Kabaka Mutesa alikuwa akiwatumia waarabu kumletea bidhaa kutoka pwani kisha aliwapatia pembe za ndovu.
Kabaka Mutesa alijifunza Kiswahili na Kiarabu na alizingatia pia sherehe za Kiislamu za kila mwaka ya kufanya Ramadhan tangu mwaka 1867 hadi 1877 baada ya Kristo.
Hali kadhalika lugha ya Kiswahili kilitumika katika makao makuu ya Kabaka.
Ilikuwa katika shughuli za biashara na hata kueneza dini ya Kiislamu.
Vile vile maandishi ya Kiswahili yalianza kutumika katika Baraza za kifalme za Bugenda na Bunyoro kabla ya kuja kwa waingereza

-wamishenari walifungua shule nyingi ambazo zilitoa mafunzo katika fani mbali mbali k.v useremala na uashi ambapo lugha ya kufunza ilikuwa Kiswahili.
-walianzisha vitua vya kueneza injili ambapo lugha ya Kiswahili ilitumika katika mahubiri (whitely 1969.53)
- walianzisha kuchapisha magazeti kwa lugha ya Kiswahili kwa mfano gazeti la habari za wakilindi ilianzishwa mwaka wa 1905 na dhehebu la U.M.C.A.

Titany answered the question on December 6, 2021 at 09:09


Next: Wajerumani na Wamishonari walikuwa marafiki wakubwa wa Kiswahili? Jadili kauli hii uku ukieleza jinsi walivyochangia maenezi ya lugha hii katika afrika mashariki
Previous: Taja lahaja zinazopatikana katika lugha yako iwapo zipo kisha eleza jinsi zilizuka

View More Historical Development of Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions