Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Taja lahaja zinazopatikana katika lugha yako iwapo zipo kisha eleza jinsi zilizuka

      

Taja lahaja zinazopatikana katika lugha yako iwapo zipo kisha eleza jinsi zilizuka

  

Answers


Faith
Mfano wa lahaja ni sheng.Hii ni lugha ya mtaani inayochanganya kiswahili na kingereza pamoja na lugha mbalimbali za kienyeji Kama vile kikuyu,kijaluo n.k Sheng inatumiwa kwenye bunge, mabasi, redio, muziki na haya wakati mwingine kwenye bunge.
Baadhi ya maneno ya sheng ni haya ;
Manzi- msichana
Fiti sana -mzuri
Nai -Nairobi
Kupata ball-kupata mimba
Kitu zii sana- kitu kibaya
Kusota- Hali ya kuwa bila hela
Ndae- Gari
Kula vako- kuamini uongo
Sheng ilianza kutumika mwanzoni mwa 1970 katika kitongoji Cha Eastlands katika jiji la Nairobi.Wanamuziki hasa wa mitindo ya 'rap' wamefanya lugha hii kujulikana .Msamiati nyingi inatoka katika lugha ya kiswahili,pia hutumia kingereza na lugha ya makabila mengine kutoka Kenya.Mazrui,Alamin (1995)

Titany answered the question on December 6, 2021 at 09:14


Next: Fafanua sababu zilizotatiza kukua na kuenea kwa lugha ya Kiswahili nchini Uganda kabla ya uhuru
Previous: Eleza matatizo mbalimbali yanayowakumba watafiti wanapojaribu kuhesabu na kuainisha lahaja za lugha

View More Historical Development of Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions