Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Eleza ni kwa nini lugha ya Kiswahili ilisanifishwa wakati wa ukoloni

      

Eleza ni kwa nini lugha ya Kiswahili ilisanifishwa wakati wa ukoloni

  

Answers


Faith
Lugha ya Kiswahili ilisanifishwa ili kukidhi mahitaji ya kidini na elimu kama ifuatavyo.
• Kuwepo kwa lahaja nyingi za kiswahili,wingi huu wa lahaja ulitatiza sana mawasiliano katika shughuli za kibiashara ,kielimu n.k ambazo zilihitaji kuelewa kwa lahaja moja ili kueleweka na watu wote.
• Kulikuwa na hati tofauti zilizotumiwa kuandika kiswahili.Mwanzoni kulikuwa na hati ya kiarabu na baadaye kirumi.Ni kutokana na hali hii ndipo kulikuwa na tofauti katika kuendeleza maneno kukawa na haja ya kutafuta namna moja ya kuendeleza.
• Kulikuwa na haja ya kutafsiri maandishi ya biblia takatifu na kutakani kwa lugha moja ili watu waweze kusoma na kupata wokovu.
• Kulikuwa na haja ya kuwasilisha injili na dini kwa lugha moja ili kuepuka kutoeleweka kwa maandishi na injili.
• Kulikuwa na haja ya kutumia lahaja moja shuleni kwa kufundishia ili kuleta uelewano baina ya walimu na wanafunzi.

Titany answered the question on December 6, 2021 at 09:51


Next: Eleza ni kwa nini lahaja ya kiunguja ilichaguliwa kwa msingi wa kusanifisha lugha ya kiswahili na wala sio kimvita au kiamu
Previous: Tathmini mchango wa kamati ya Kiswahili ya Afrika Mashariki(K.K.A.M) katika kusanifisha lugha ya Kiswahil

View More Historical Development of Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions