Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Eleza ni vipi sheng' inavyoathiri maendeleo ya kiswahili nchini Kenya na hatua zinazoweza kuchukuliwa ili kukabili

      

Eleza ni vipi sheng' inavyoathiri maendeleo ya kiswahili nchini Kenya na hatua zinazoweza kuchukuliwa ili kukabili

  

Answers


Faith
Sheng' huwafanya watu wachache kutumia maneno mengine ya Kiswahili wakidhani ni sheng'
Utata unaozuka kwa waumini walio na umri wa juu na watoto wadogo wasioelewa sheng'katika dini ya kisiasa . Waumini hawa hufungiwa nje hasa katika nyimbo za injili zilizosheheni lugha ya sheng'.
Sheng'hushusha viwango vya uelewa wa kiswahili sanifu. Sheng' inafaa kuachiwa wanamuziki na utingo wa magari. Utafiti zaidi kuhusu sheng' ufanywe ili kubaini maenezi na athari zake katika elimu katika maneno tofauti nchini Kenya. Kazi yake imetufaa Kwani imekuwa Kama msingi Bora wa utafiti huu unaonuia kutafiti kuhusu athari za sheng'katika ufundishaji wa kiswahili.
Sheng'huathiri utendaji wa wanafunzi katika kazi zilizoandikwa za kiswahili. Utafiti huu ni wa upeo tofauti, Kwani kiwango cha elimu kilichoshughulikiwa ni shule za msingi ilhali utafiti huu ni wa kiwango cha shule ya upili. Utafiti kuhusu athari za sheng katika shule za upili na vyuo zifanywe.

Titany answered the question on December 6, 2021 at 11:20


Next: Tathmini mchango wa tume ya Mackey (1981) na time ya Koech (1999) katika kustawisha Kiswahili nchini Kenya
Previous: Juhudi za kuendeleza kiswahili nchini Uganda baada ya uhuru bado hazijafaulu" jadili kauli hii

View More Historical Development of Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions