Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

"Kiswahili sio lugha ya Afrika Mashariki tu,bali ni lugha ya kimataifa."Jadili kauli hii

      

"Kiswahili sio lugha ya Afrika Mashariki tu,bali ni lugha ya kimataifa."Jadili kauli hii

  

Answers


Faith
1. Lugha ya kiswahili hufundushwa katika vyuo vikuu mbalimbali barani Afrika,huko Marekani kuna mipango ya kufundisha Kiswahili kwa wataalamu ambao wanatarajia kuja Afrika Mashariki kufanya kazi zao.
2. Lugha ya kiswahili hutangazwa katika idhaa mbalimbali barani Afrika, Marekani na Ulaya kama vile redio Rwanda, All radio India,Redio Chaina Kimataifa na BBC. Idhaa hizi huchangia sana kukuza na kueneza Kiswahili kote ulimwengu.
3. Lugha ya Kiswahili hutumiwa katika kuchapisha majarida katika mataifa mbalimbali kama vile mwanga nchini Rwanda,lugha nchini Sweden, Swahili Forum nchini Ujerumani.
4. Hivi sasa lugha ya kiswahili inasemekana kuwa katika nafasi ya kumi miongoni mwa lugha za Kimataifa zilizo na idadi kubwa ya wazungumzaji kote ulimwenguni. Wazungumzaji wa Kiswahili ulimwenguni wanakadiriwa kuwa takriban watu millioni mia moja.

Titany answered the question on December 6, 2021 at 11:27


Next: Huku ukitoa mifano jadili matatizo yanayokumba uundaji wa istilahi za kiswahili na jinsi yanavyoweza kutatuliwa
Previous: Ni vipi Kiswahili kinaweza kuimarisha umoja katika Afrika Mashariki na kati?

View More Historical Development of Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions