Toa neno kwa kila moja ya sauti ambatano zifuatazo. Nyw – Nd – Ngw –

      

Toa neno kwa kila moja ya sauti ambatano zifuatazo.
Nyw –
Nd –
Ngw –

  

Answers


Kavungya
Nyw – Kunywa
Nd – Ndoo, kondoo
Ngw – jangwa

Kavungya answered the question on November 21, 2022 at 12:54


Next: Onyesha Nomino (N), kitenzi , kielezi (E) Kiunganishi (U), na kivumishi (v) katika sentensi hizi. (i) Mtoto anacheza vizuri. (ii) Utacheza au utasoma? (iii) Wanafunzi wawili wanalala.
Previous: Onyesha silabi inayowekewa shadda kwenye maneno yafuatayo. Karatasi – Shairi – Barabara(njia kuu) Mto –

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions